
Bingwa wa Commonwealth uzito mwepesi Amir Khan jana alipita tena katika mtihani mgumu baada ya kufanikiwa kumshinda Michael Gomez katika raundi ya 5 ya mchezo huo, pichani juu Amir khan akisherehekea ushindi wake.
habari za michezo toka pembe zote za dunia
No comments:
Post a Comment