Wednesday, 18 June 2008

BOSTON CELTIC YAWALIZA LA LAKERS 131-92



















Wachezaji wa Boston Celtic wakishangilia ushindi wao dhidi ya Los angels Lakers walipowala katika game 6 kwa 131-92 na kujinyakulia kombe hilo kwa mara ya 17 hii ni record baada ya kulisotea kwa miaka 22.Picha kulia akiwa na kombe ni Paul Pierce ambaya pia ni MVP wa NBA Finals.




Nyota ichomozayo mchango wa kijana huyu katika finals ulikuwa ni mkubwa sana kama takwimu zinavyoonyeshaRajon Rondo
Points Rebounds Assist
Kg 20.4 Kg 10.5 RR 6.6
PP 19.7 KP 6.1 PP 4.6
RA 15.6 PP 5.0 KG 3.3
RR 10.2 RR 4.1 RA 2.7
KP- Kendrick Perkins
PP-Paul Pierce
KG-Kevin Garnett
RR-Rajon Rondo
RA-Ray Allen






"THE BIG THREE

Ray Allen
Kevin Garnet
Paul Pierce










1 comment:

Anonymous said...

DAH BIG 3 WALIKUWA ON FIRE PAMOJA NA KUWA GARNET GAME KADHAA ALIMWAGA SANA HILA HATUWEZI KUSAHAU MCHANNGO WA WATU KAMA KINA RONDO,HOUSE NA CASSEL PERKINS POSSEY POWE BROWN NA GENIUS DOC RIVERS

karibuni wote ndani ya blog hii kwa michezo mbalimbali toka kila kona ya dunia